Makapuku Forum

Asante Obe kwa music [emoji445]
 
Uliiona wapi shemela
Yaan shemela tulikua wadogo kuna rafiki yetu mmoja tulienda kwao akatuambia baba kanunua kanda ya video ya popo bawa akaiiba tuione nje

Kipindi hiko hakunaga DVD basi kututolea sijui inasema popo bawa kaonekaa znz ni ya maelezo yake tu sasa sisi kuonyeshwa cover popobawa anaruka hivi ana jicho moja acha tukimbie shemela [emoji1][emoji1] utoto bana
 
Haaaaahaaaa kweli utoto shemela, ilikuwa mwaka gani huyo shemela
 
Haaaaahaaaa kweli utoto shemela, ilikuwa mwaka gani huyo shemela
Mwaka siri yangu shemela unataka unicheke au [emoji1][emoji1][emoji1] me ni muhenga kitu cha 55 ila jua tu kipindi hiko habari za popo bawa zimeenea Tanzania nzima nilikua katoto watu wanalala nje kuogopa popo bawa
 
Haaaaahaaaa shemela umestuka kweli
 
Shemela si unakumbuka kipindi cha saa mpya lakini tutakoma na hiyo galaxy sijui galaxy gani binamuuuu ukuje naomba picha mie halaf uniambie ni galaxy gani

mmmh, ile saa acheni tu jamani, sasa usisahau kumtaarifu BH kuhusu mimi kuwa mmiliki wa Samsung Galaxy.

Sijajua ni toleo gani, haya mambo bhana inahitaji muda? Afu ujue inaweza kufanya screenshot, unabonyeza cha kuzimia na kuongezea sauti mara unasikia chwaaaaaa, ndo tayari tena

Natest tu mitambo kwa sasa hivi
πŸ™‚πŸ˜‰πŸ˜€πŸ˜΅

Umeona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…