Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Sep 2, 2017 #273,121 Shunie said: Kwendraaa na haitotokea aisee na usikute wengi mnaombea hivyo sasa mtafanya sherehe au Lee na shunie wakiachana Click to expand... Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike?
Shunie said: Kwendraaa na haitotokea aisee na usikute wengi mnaombea hivyo sasa mtafanya sherehe au Lee na shunie wakiachana Click to expand... Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike?
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,122 Tetramelyz said: Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike? Click to expand... Si maombi ya mwenye haki hujibiwa kwa wakati yaan wewe tetra
Tetramelyz said: Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike? Click to expand... Si maombi ya mwenye haki hujibiwa kwa wakati yaan wewe tetra
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Sep 2, 2017 #273,123 Shunie said: Ahahhahah kwahiyo yangu ya uongo ungekuwa unalia lia apa kuhusu makopa mawili Click to expand... We kwanini uzuke kichaka wakati kile kikopa kimoja tu kinatosha
Shunie said: Ahahhahah kwahiyo yangu ya uongo ungekuwa unalia lia apa kuhusu makopa mawili Click to expand... We kwanini uzuke kichaka wakati kile kikopa kimoja tu kinatosha
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 2, 2017 #273,124 Tetramelyz said: Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike? Click to expand...
Tetramelyz said: Hahaa, duh... yani shunie mimi niache kuomba ugali, niombe ndoa yenu ivunjike? Click to expand...
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Sep 2, 2017 #273,125 Shunie said: Si maombi ya mwenye haki hujibiwa kwa wakati yaan wewe tetra Click to expand... Kweli kabisa, ndio maana sijawahi kulala njaa
Shunie said: Si maombi ya mwenye haki hujibiwa kwa wakati yaan wewe tetra Click to expand... Kweli kabisa, ndio maana sijawahi kulala njaa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,126 Tetramelyz said: Kweli kabisa, ndio maana sijawahi kulala njaa Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,127 Tetramelyz said: We kwanini uzuke kichaka wakati kile kikopa kimoja tu kinatosha Click to expand... Ebu niambie tetra vile vikopa viwili jaman vimekufanyaje
Tetramelyz said: We kwanini uzuke kichaka wakati kile kikopa kimoja tu kinatosha Click to expand... Ebu niambie tetra vile vikopa viwili jaman vimekufanyaje
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 2, 2017 #273,128 Shunie said: shemela wangu ukweli mchungu huo ujue Click to expand... Sema siwezi kuweka no yake hadharani, ila ningekupa uimpigie
Shunie said: shemela wangu ukweli mchungu huo ujue Click to expand... Sema siwezi kuweka no yake hadharani, ila ningekupa uimpigie
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,129 shululu said: Sema siwezi kuweka no yake hadharani, ila ningekupa uimpigie Click to expand... Woyooooooooooo tuma hiyo picha basi pm kwa baba d shemela
shululu said: Sema siwezi kuweka no yake hadharani, ila ningekupa uimpigie Click to expand... Woyooooooooooo tuma hiyo picha basi pm kwa baba d shemela
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Sep 2, 2017 #273,130 Shunie said: Ebu niambie tetra vile vikopa viwili jaman vimekufanyaje Click to expand... Hahahaha, nimefurahi tu kuviona, maana ni adimu sana
Shunie said: Ebu niambie tetra vile vikopa viwili jaman vimekufanyaje Click to expand... Hahahaha, nimefurahi tu kuviona, maana ni adimu sana
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,131 Tetramelyz said: Hahahaha, nimefurahi tu kuviona, maana ni adimu sana Click to expand... tetra una vituko sana
Tetramelyz said: Hahahaha, nimefurahi tu kuviona, maana ni adimu sana Click to expand... tetra una vituko sana
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 2, 2017 #273,132 shululu said: Mkuu vip Click to expand... Mume wngu mm
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 2, 2017 #273,133 Shunie said: Mimi aba baba jj mke mwee yuko ap jaman Click to expand... Mm hapa mke mweeee umzima
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 2, 2017 #273,134 Shunie said: Ebu niulizie shemela hata me mkewe hataki shikamoo yangu Click to expand... Nimempigia simu kaja, sema lingine sasa
Shunie said: Ebu niulizie shemela hata me mkewe hataki shikamoo yangu Click to expand... Nimempigia simu kaja, sema lingine sasa
Tumosa JF-Expert Member Joined Jul 21, 2016 Posts 16,527 Reaction score 52,623 Sep 2, 2017 #273,135 Shunie said: Ahahaha na mapenzi yenu ya bongo movie usikute hata hujawahi kuwasiliana nae mtu yupo kyela huko na wewe shemela upo kinyerezi. Click to expand... Nani kakwambia npo kyela
Shunie said: Ahahaha na mapenzi yenu ya bongo movie usikute hata hujawahi kuwasiliana nae mtu yupo kyela huko na wewe shemela upo kinyerezi. Click to expand... Nani kakwambia npo kyela
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 2, 2017 #273,136 Tumosa said: Mume wngu mm Click to expand... Karibu mama wawili, karibu sana bora umeitikia wito wangu, maana shunie huku alikuwa anaandaa single
Tumosa said: Mume wngu mm Click to expand... Karibu mama wawili, karibu sana bora umeitikia wito wangu, maana shunie huku alikuwa anaandaa single
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,137 Mke mwee nakuona. mumeo alinidanganya kuhusu wewe
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,138 Tumosa said: Nani kakwambia npo kyela Click to expand... we mke mwee leo unakana haupo kyela
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,139 shululu said: Karibu mama wawili, karibu sana bora umeitikia wito wangu, maana shunie huku alikuwa anaandaa single Click to expand...
shululu said: Karibu mama wawili, karibu sana bora umeitikia wito wangu, maana shunie huku alikuwa anaandaa single Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,077 Reaction score 464,001 Sep 2, 2017 #273,140 shululu said: Nimempigia simu kaja, sema lingine sasa Click to expand... shemela we hapana sasa hivi tena unanibadilishia maneno
shululu said: Nimempigia simu kaja, sema lingine sasa Click to expand... shemela we hapana sasa hivi tena unanibadilishia maneno