Bhana eeh..Minuno ipi tenaa
Okay then...Bhana eeh..
Hapa public...i can not pour everything over here..
Hujambo
Asante mpendwaMuziki: Wewe Ni nani Tusipokuwaangalia
Kuna siku huwa zinakuwa tofauti na siku nyingine, unaweza kukubali au suikubali na kukataa na kukubali kwako hakubadili kitu maana kila mmoja anabaki kuwa yeye kama yeye na si yeye kama wewe. Kila mmoja anapambana na hali yake tu. Ninakusalimia Kapuku mheshimika na unajua kabisa ninakuthamini sana kila wakati ninapokuwa ninatembelea hapa. Asante kwa kulifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kabisa.
Usijiulize kwanini maaana kwanini ni mwanzo wa ugomvi, mimi nimesema tu siku zinatofautiana na leo ni siku ya mwanzo kabisa wa mwezi, tarehe mosi na nzuri zaidi imeangukia kwenye sherehe za Maulid, usinilaumu kwa kutokukukaribisha kwenye sikukuu hii ya kuchinnja maana nimejitahidi sana nimechinja matembele na sikujua kuwa yana supu nzui kwa afya, asante mzee wa hapa kazi tu. Nimekaa Ijumaa leo na mwenye nyumba wangu tunagonga moja moja na kila mmoja anajilipia kiasi anachokunywa, na kodi ndo nimemkabidhi na simwangalii maana nataka nijue yeye ni nani nisipokuwa namwangalia
Muziki sasa, leo taratibu na country haijawahi kumuangasha mtu, kila ninapokosa kinachokupendeza basi muziki wa country ndo unaokuwa chaguo langu la kwanza maana huniangalii na hatuangaliani siku hii tunaposheherekea Eid
EeehhAcha huo ujinga mawazo mnayowaza ni nyiee na wewe kwani umeliona leo mbona tangu aingie kapuku ??
Rafiki kipenz wewe kweli ni shidaAchana naee ...na wewe ukome kuingiliaa mambo yao acha wapambane na hali zaoo
Umeona nini?Mimi nimeona toka asubuhi
DJ sepetu
Asante kwa music kiongozi ObeMuziki: Wewe Ni nani Tusipokuwaangalia
Kuna siku huwa zinakuwa tofauti na siku nyingine, unaweza kukubali au suikubali na kukataa na kukubali kwako hakubadili kitu maana kila mmoja anabaki kuwa yeye kama yeye na si yeye kama wewe. Kila mmoja anapambana na hali yake tu. Ninakusalimia Kapuku mheshimika na unajua kabisa ninakuthamini sana kila wakati ninapokuwa ninatembelea hapa. Asante kwa kulifanya jukwaa hili kuwa sehemu nzuri kabisa.
Usijiulize kwanini maaana kwanini ni mwanzo wa ugomvi, mimi nimesema tu siku zinatofautiana na leo ni siku ya mwanzo kabisa wa mwezi, tarehe mosi na nzuri zaidi imeangukia kwenye sherehe za Maulid, usinilaumu kwa kutokukukaribisha kwenye sikukuu hii ya kuchinnja maana nimejitahidi sana nimechinja matembele na sikujua kuwa yana supu nzui kwa afya, asante mzee wa hapa kazi tu. Nimekaa Ijumaa leo na mwenye nyumba wangu tunagonga moja moja na kila mmoja anajilipia kiasi anachokunywa, na kodi ndo nimemkabidhi na simwangalii maana nataka nijue yeye ni nani nisipokuwa namwangalia
Muziki sasa, leo taratibu na country haijawahi kumuangasha mtu, kila ninapokosa kinachokupendeza basi muziki wa country ndo unaokuwa chaguo langu la kwanza maana huniangalii na hatuangaliani siku hii tunaposheherekea Eid
Sijambo shemeji, za weweHujambo
Tabia gani tena Sakayo.... Mbona unaanza kuwa mtata kama..........?Mmmmh
Ko unabariki hiyo tabia eeehh
We mkuu yameisha hayo wewe unaqoute nnTabia gani tena Sakayo.... Mbona unaanza kuwa mtata kama..........?
NzuriSijambo shemeji, za wewe
Mbona halotel haipatikani..?Okay then...
You know where to find me....
Nisamehe bure wala sikuwa na nia mbaya.... Naona Mapovu tuu mpaka naogopa....Tabia gani tena Sakayo.... Mbona unaanza kuwa mtata kama..........?
Mbona ndo natumia saiviMbona halotel haipatikani..?
Yaani rafiki kipenz hawa wanataka kuchafua lakini tukiamua kulianzisha kisawasawa watu wataenda kulala mapema.Tatzo nyie mawazo yotee yanawazaaa ufiranajiiii ...ndo maana nimekuuliza jinsia yakoo