....mimi anko wangu siwezi kumvunjia heshima hata kidogo, kwanza ndo alinileta mjini na nikakaribishwa na
shululu enzi hizo anamfukuzia
Tumosa na nikampenda
BlessedHope akanipa ngumi ya chembe nikaona isiwe taabu, nikaongea na
Shunie na limjomba langu
lee empire enzi hizi anko anavinjari na CM, nikawaambia jamani mimi mpwawenu domo zege na so fanyeni michakato, mara paaa
husna muba akanitunuku penzi wakati huo
Transcend anamtumia maua
Sakayo huku kile kibabu
Asprin kikimmegea pesa za pensheni.