Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mwenye wivu ajinyongee
Mwenye wivu ajinyongee
Anajitoa ufahamu tuHahaha
Lazima uwepo... Umesahau eeehh
UnawezaUtanataka wakupe Nobel Prize of patience
Kiti cha noah...wana mdudu safiii sanaaaaa..... na mandhari safi sana ukiwa na watoto kama shunie




Kina naniWananizingizia bhanaa
Umeanza shemela na uchocheziAnajitoa ufahamu tu
Najua T ni binamu obe ndio anamvunjia heshima anko wake
WoyoooooBinamu obe ukuje umjibu T jaman
Nimekwambia nimekuta T anapewa hongera lakini sijui ya nini
haya weeNdio raha ya jf hiyo shemelaSana shemela
Imegoma kuoshekaHahahaa...
Juzi nimekuona studio ujue..![]()
NoKunywa hii hapa![]()
Hata weweUjue sielewi dada
Sio kuchochea shemelaUmeanza shemela na uchochezi
hahaha totoz huwa zipo tu... sema nikitaka kuwalaaa mood inapotea naishiaa kuwaacha tuuu.... ila kuwadaka nawadaka tuuu tena vizuri tuu🙂🙂🙂🙂Ahahahh unaonekana unapenda totoz halaf inakuwaje mzee wa geisha
Wanajuana wenyewe na mambo ya shanga 2000 kiunoni?
Ebu ngoja kwanza binamu hili la muhimu kuliko yote hayo huyo CM ndio naniiii enzi hizo anavinjari na anko wako....mimi anko wangu siwezi kumvunjia heshima hata kidogo, kwanza ndo alinileta mjini na nikakaribishwa na shululu enzi hizo anamfukuzia Tumosa na nikampenda BlessedHope akanipa ngumi ya chembe nikaona isiwe taabu, nikaongea na Shunie na limjomba langu lee empire enzi hizi anko anavinjari na CM, nikawaambia jamani mimi mpwawenu domo zege na so fanyeni michakato, mara paaa husna muba akanitunuku penzi wakati huo Transcend anamtumia maua Sakayo huku kile kibabu Asprin kikimmegea pesa za pensheni.
Kabisha shemelaNdio raha ya jf hiyo shemela