shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mwambiee geishaaa ipoo akanunueeTetra niache jaman baba d alikiwa porini we na shemela shululu mliongea sana
Nyie si mlikuwa mnasema kwa nini nisichepuke eti baba d huko porini itakuwa kawowa
Nawe pia ObeUsiku mwema watu wema ndaji ya Jukwaa hili
Mkuu umetumwaaa ??Ata posa na nini...kwani unayo mandoa mkuu? Maana hakuna panel nyingine ya kuombea uchumba!
Ndugu yangu kiveepHuyo tetramelyz ni ndugu yako ujue, yupo kule kwenye mafuriko
Baadaye si alisema mwenyewe hapaNyie si mlikuwa mnasema kwa nini nisichepuke eti baba d huko porini itakuwa kawowa
Hakuna namna nyingine jamanamerudi, unaamua kutunyoosha sio
Queen huyooo kashakutekaaUsiku mwema watu wema ndaji ya Jukwaa hili
Badooo badooooTukalale jaman
Nimemuuliza shemela haiwezekani aanze tu kuniuliza kabila langu
Please ningejua ID yake ningembembeleza aniruhusu nikuoe kwa kuwa wewe ni mke wa mtu na 'Baibo' inasema wazi kwamba mke mwema anatoka kwa bwana naamini bwana wako asingeleta pingamizi!Me nina ndoa na mume wangu yupo hapa hapa jukwaani
Binadamu wabayaaaNyie si mlikuwa mnasema kwa nini nisichepuke eti baba d huko porini itakuwa kawowa
ya nini ??Mwambiee geishaaa ipoo akanunuee
Moyo mashine mkuu...nafsi ndo imenituma ila usimwambie mtu!Mkuu umetumwaaa ??
Mwisho wake ikawaje shemelaBaadaye si alisema mwenyewe hapa
Umeadimikaaa kama bikra kwa wolperHome sweet home nime wamisi ndugu zangu
Mzee wa churaaHome sweet home nime wamisi ndugu zangu