Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Dar kuna wine za kichina balaaa...Hiyo wini iko vizuri kuliko dompo, cha ajabu hapa dar haipatikani
Unaweza ukanywa pipa hata huisikii [emoji3][emoji3]
Dar kuna wine za kichina balaaa...Hiyo wini iko vizuri kuliko dompo, cha ajabu hapa dar haipatikani
Sijui shemela jaman niambie basiJibu tu, mbona swali limeeleweka
WoyooooooooooooWekaaa vyomboooo mkuu duniaa yenyewe haileweekiii
Usisahu kawimbo ketuuuBata alhamisi hadi jpili [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja niingie mjini kwanza..
Woyoooooooooooo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Woyoooooooooooo
MnitagTwende mmu nini? [emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli shemela na ukipendwa ringaaaShika ushikamane shemela
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] missing you tooNimekumisije
DJ sepetu
Kaniambia hapendi kwani alinijibu shemelaUlisema hapendi, kakuumbua mchana kweupe
Nikooo makiniiii hapaaa....Sky sports live
AiseeMule Mola!
duuh, nausogezaje usiku huu sasaSina mkuu
[emoji4][emoji4]Kunywaaaa biaaaa
Ndio maana yakeNi kweli shemela na ukipendwa ringaaa
Bhinamu ngojaa ajee na iliyotafsiriwaa na lufufuyoyote tu, leta
Mrembo..[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] missing you too
Mahrez vipNikooo makiniiii hapaaa....
Mmh kuna hatari naiona hapa ya kukesha kapuku me nitakuachaNikifikaaa
MondrayHaha....x dooh!
Ndio maana mnaambiwa muoe ninyi vijana