Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muziki: Ukimya Sio Amani

Nimerudi! itoshe tu kusema nimerudi na kurudi sio kufanya marudio japo haimaanishi kurudia ni jambo baya na ndiyo maana ninarudia kukusalimia Kapuku mheshimika sana, hujambo lakini! najisis kupoteza touch zangu wakati ninapoandika. Unataka kujua nilikuwa wapi na kwanini nilipotea, well, nitakuambia maana wewe kuwepo humu hulifanya group hili kuwa poa na si zilipendwa.

shululu huwezi kuamini hata nilipokuwa sichangii chochote nilikuwa nasoma magazeti, husna muba unataka niandike nini ujue kuwa kama ni saa basi wewe ndo funguo. Mjomba nakuelewa lee empire , najua umerudi na sijasahau hata siku moja. Clkey hongera kwa kupata mtoto, dunia tuko bilioni 7 na huyu wako anaifanya dunia yetu ipendeze kwa kuwa na watu 7,000,000,001 na hawa wanajumisha Tumosa , Sakayo , Transcend , Nyagei mtaasisi, mzeewakungoa , dumejeuri ,Shunie , Jimena , Bitoz , Mndali ndanyelakakomu ,Tetramelyz , Bailly5 , Madame S , Mondray na wewe unayesoma hapa jua kuwa uko mtu makini kwa kuwa hapa.
Muziki sasa; ndo kwanza nimerudi na hata kizibao sijatoa na sitaki kukuchosha bali nataka uburudike na you what, muziki unaweza kuja mapema kiana ila ni usiku tu maana baniani bado anahitaji huduma

Asante kwa music kiongozi Obe
 
Sina ripoti mie hizo mambo hazinihusu kabisa yaan hazinihusu sakayo dada angu sawa na sipendi kuona akiumizwa naona unataka kuleta hizo mambo ili sakayo ajisikieje me sitaki jaman
Hongera Kwa kua dada mzuri kwa Sakayo.... A friend in need is the friend indeed.... Obviously I am joking Shunie .....please turn on a joking mode.... Mimi ni babu yako ujue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Woyoooooooooooo mama ashura veeep

...hukusikia kwani, yaani anko hakukwambia! Niliachika, yaani aliniacha. Kisa chenyewe ni cha kijinga tu, eti nilimuomba aongeze zile mambo zangu nikataka shanga akabaki kushangaa eti kwanini alizonazo hazitoshi? Nikamwagwa, ila ilikuwa ni zamani kabla sijakutana na tulizo langiu la moyo alhabib Husna
 
Hapakuwa na fitina za anko kweli hapo
 
Muziki: Ukimya Sio Amani

Nimerudi! itoshe tu kusema nimerudi na kurudi sio kufanya marudio japo haimaanishi kurudia ni jambo baya na ndiyo maana ninarudia kukusalimia Kapuku mheshimika sana, hujambo lakini! najisis kupoteza touch zangu wakati ninapoandika. Unataka kujua nilikuwa wapi na kwanini nilipotea, well, nitakuambia maana wewe kuwepo humu hulifanya group hili kuwa poa na si zilipendwa.

shululu huwezi kuamini hata nilipokuwa sichangii chochote nilikuwa nasoma magazeti, husna muba unataka niandike nini ujue kuwa kama ni saa basi wewe ndo funguo. Mjomba nakuelewa lee empire , najua umerudi na sijasahau hata siku moja. Clkey hongera kwa kupata mtoto, dunia tuko bilioni 7 na huyu wako anaifanya dunia yetu ipendeze kwa kuwa na watu 7,000,000,001 na hawa wanajumisha Tumosa , Sakayo , Transcend , Nyagei mtaasisi, mzeewakungoa , dumejeuri ,Shunie , Jimena , Bitoz , Mndali ndanyelakakomu ,Tetramelyz , Bailly5 , Madame S , Mondray na wewe unayesoma hapa jua kuwa uko mtu makini kwa kuwa hapa.
Muziki sasa; ndo kwanza nimerudi na hata kizibao sijatoa na sitaki kukuchosha bali nataka uburudike na you what, muziki unaweza kuja mapema kiana ila ni usiku tu maana baniani bado anahitaji huduma

Binamu asanteee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom