Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,723
- 15,366
Namshukuru Mungu sijambo mdogo wangu sijui wwKwema za wewe mamy
Namshukuru Mungu sijambo mdogo wangu sijui wwKwema za wewe mamy
Me mzima sana ndugu pole na kichapo jaman naju hakujalika wala kulalikaNamshukuru Mungu sijambo mdogo wangu sijui ww
Huoni mwisho hiyoooo[emoji1]Mpendwa wa binamu endelea tena [emoji4]
Yaani yule mzee ananivurugaga kinyama basi tu, kuna vitu anafanyaga unajiuliza ni akili yake kweli ama kaazima,kile kikosi cha jana kilivyopangwa nilijua tu lazima tulambwe za kutoshaMe mzima sana ndugu pole na kichapo jaman naju hakujalika wala kulalika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni jaman ila mna moyo aiseeYaani yule mzee ananivurugaga kinyama basi tu, kuna vitu anafanyaga unajiuliza ni akili yake kweli ama kaazima,kile kikosi cha jana kilivyopangwa nilijua tu lazima tulambwe za kutosha
Asante jaman mpendwa wa binamu nilikua sijaona sasa tupe nyingine basiHuoni mwisho hiyoooo[emoji1]
Mtunzi akimaliza story moja anapumzika wiki ndio anaanza nyingineAsante jaman mpendwa wa binamu nilikua sijaona sasa tupe nyingine basi
Ahsante, wacha tupambane na hali yetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleni jaman ila mna moyo aisee
Sikutengi rafiki.... Nilikuwa poriKipenziiiii rwafiiiiikiiiiii unanitenga siku hiziii
Pole sana kwa masahibu ya janaKocha na benchi lake la ufundi waondoke
Naona kiu wamehamia kwa mkorea
Ahsante mhandisiView attachment 576390Asubuhi njema wadau