Na wewe pia mkuu... Asante kwa magazeti na sorry kwa kukuaibisha si unajua goli moja linaweza kukupa ubingwa.View attachment 576390Asubuhi njema wadau
Pamoja sana mkuu, Arsenal iko vizuri zaidi ya Liverpool, ila kocha hana mbinu kabisa kwa sasaNa wewe pia mkuu... Asante kwa magazeti na sorry kwa kukuaibisha si unajua goli moja linaweza kukupa ubingwa.
ShemejiPamoja sana mkuu, Arsenal iko vizuri zaidi ya Liverpool, ila kocha hana mbinu kabisa kwa sasa
Mie mzima sanaSijambo mpenzi
Mzima wewe?
Upooo habari za ulipoMie mzima sana
Huku niliko shwariiUpooo habari za ulipo
Asante tumepoteana sana mkuuHuku niliko shwarii
Long time sijaingia kapuku lkn nipoAsante tumepoteana sana mkuu