Niaje mkuu ChaplinNi siku nyingine tumejaliwa uzima
Tukapate kujua kilichojiri viwanjani jana
Asante mkuu kwa dondoo za michezoTukutane baadae kwenye matokeo
.
.
.
.
.
SPORTS SEGMENT DEACTIVATED
ShukraniView attachment 575738Asubuhi njema
Haijambo kabisa, linamo mzimaSalama tu injinia
Familia haijambo
Maneno yulee kama muimba taarabu
Binamuuuuuuuuu.........yuko wapi mama Mchungaji?
Nauliza tu, nitarudi kusalimia.
Hahhaaaa...Maneno yulee kama muimba taarabu