Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Mmh sio ukuaji huo jamanNdio mke mweee hujawahi ona watoto wanakua na sura znabadilika jamaani
Mmh sio ukuaji huo jamanNdio mke mweee hujawahi ona watoto wanakua na sura znabadilika jamaani
Eeeh kumbe sio kweliAhahhh ulivyomuuliza wote wake waongo hao na mumewe
Sema unapenda picha yao wakiwa na miezi mitatuTunawataka wakina jj wa mwanzo
Wekeni shemelaAu tukuwekee picha ya familia nzima ndio uamini?
Naiona imeshaanza ujueWeekend ndio hiyoooo
Ahhahah shemela shululu ujue kila siku anasema sie bongo movieAchana naoo ...
Kwa kutudanganya huko lazima yawe na hitilafu tu![]()
![]()
kweli macho yko yatakuwa na hitilafu ujue
Shemela hii tabia umeianza liniAhahhh ulivyomuuliza wote wake waongo hao na mumewe
Ila shemela inakuwaga nini unavyotuambia bongo movieSijawahi kusema kuwa siwaamini shemela
Unataka pcha ile ya utoto eeehTunawataka wakina jj wa mwanzo
Ahahha ujue wanatufanya watotoKutoka wa kiume mpaka wa kike
Toa formula ya ukuajiMmh sio ukuaji huo jaman
Mimi apa shemela umekuwa mchochezi sana ujueShemela![]()
![]()
![]()
![]()
Yamekukutia wapi lakiniUtaambiwa watoto wanataka zawadi
Usimsikilize huyoEeeh kumbe sio kweli