dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,829
- 20,335
[emoji53][emoji1] [emoji1] umekosea
[emoji53][emoji1] [emoji1] umekosea
Ushamba upiii jamaan kukua mpaka sura zinabadilikaWw na mkeo wote washamba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wote wako au?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Amewanyoosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bongo movie naniii hilo dongo letu Baba D njo umsikie shemela shululu
Barikiwa sana [emoji120]Amen...!! Asante sana umefanya siku yangu iwe nzuri leo
MfyuuuuuuuKumbe we huoni vizuri eeeh
Wasalimie twins hao, waambie uncle anawapa hi![emoji120] [emoji120] [emoji120] nashukuru Bailly5
Pale mke na mume wanapokutana kuwa wasanii [emoji1]Baelezeee baba watoto
Mshikaji wangu nini tena mbona cheko kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ya watoto wako fakePcha ya nn tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kasahau ya mwanzo aliitoa kwenye acc ipiiii
Asante sana mshkaji wanguAnawasalimia pia ,sema busy kidogo
Salamu zake atazipata
Kweli kabisa inabidi nijtolee kumsindikizaItabidi akapimwe macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haelewi yupi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kweli mke mweeeMsitufanyie hivyo jamaan
Nani sasa bongo movie sie wenyewe hatuact halaf shemela sijui kwa nini hautuamini me na baba dSisi sio bongo movie shemela
Ndio mke mweee hujawahi ona watoto wanakua na sura znabadilika jamaaniUshamba upiii jamaan kukua mpaka sura zinabadilika
Au tukuwekee picha ya familia nzima ndio uamini?Pale mke na mume wanapokutana kuwa wasanii [emoji1]