Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
SafiHuku kwema kaka, tumeanza kupambana na siku ya leo kutafuta riziki.
SafiHuku kwema kaka, tumeanza kupambana na siku ya leo kutafuta riziki.
Mimi hapaNani analetaa fyokofyokoooo hapa ....![]()
Tuwe na siku njema
Mkuu
Leta nyingineMbona iliishaa labda kama mnataka nyingine
Tabiri 16 bora
Tuko poa tu
UsijaliWakuu habar
Sorry leo nimekuja late niwatakie tu usiku mwema.
post using my macbook air using jamiiforums app
Pole sana mkuuSabalkher makapuku wenzangu,nimewamis Sana kwa ujumla wenu niko mgombani huku kibosho nilifiliwa baba yng mkubwa na network ni mitihan bt soon tutakua pamoja km kawaida,alamsiki!!
Poleni sana kwa msibaSabalkher makapuku wenzangu,nimewamis Sana kwa ujumla wenu niko mgombani huku kibosho nilifiliwa baba yng mkubwa na network ni mitihan bt soon tutakua pamoja km kawaida,alamsiki!!