Huku kwema kaka, tumeanza kupambana na siku ya leo kutafuta riziki.Salama kabisa mkuu Rogie
Kwema huko?
Kumekucha salama kabisa mzee wa peremendeKumekucha salama ....
Cc JimenaNani analetaa fyokofyokoooo hapa ....![]()
Tuwe na siku njema
Niko poa kabisa sema majina hayo yananikosesha aman kwenye familiaKumekucha salama kabisa mzee wa peremende
Yes my name