Makapuku Forum

Community Sheild..

Poor us.. Kwani tungeandika kwa kiswahili ingedhuru nini!?
31445c145a507dcbea1dad1d108059a3.jpg
Inatuachia maswali mengi sana ila kwa haraka haraka ni kwamba hatuko makini katika utendaji wetu.
 
Mengi sana hasa swali kubwa ni je, hiyo ngao imeandikwa lini hilo neno "sheild"? Kama ni siku za nyuma basi haikukaguliwa!? Kama ilikaguliwa je hao waliokagua kiingereza kimewapiga chenga kabisa!?

Tiefef wajiangalie raisi mpya anaingia anaboronga kwenye hata vitu vidogo namna hii anatuacha na maulizo mengi
 
Vyeti vikaguliwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom