Makapuku Forum

Makapuku Forum

WANAWAKE WENZANGU INAWAHUSU

Kukosea ni sehemu ya maisha ,usijilaumu kwa lolote ulilowahi kukosea kwenye maisha hatujaumbwa kuwa sawa muda wote

Ndio maana hata Mungu hutusamehe na ameweka njia za kumuomba msamaha

Muhimu ulipojikwaa ukaumia pakariri vizur ili usijikwae tena,,lakin pia jua wewe kama mwanamke ni jasir kuliko hata mwanaume

Ndio maana hata wakigombana mwanaume na mwanamke mwanamke anaweza samehe na akaendelea na maisha yake ila sio mwanaume huwa wagumu sana kusamehe

Mwanaume anaweza kimbia nyumba yake yenye watoto akaenda kufanya starehe zote ila sio mwanamke ,,jua wewe ni kiumbe jasir na ukiamua unaweza

Wanawake tunabeba mengi wanaume hawawez kubeba,,ndo maana tunazaa kwa uchungu ila tunazaa zaid ya Mtoto mmoja ye anabaki kung'ang'ania Mtoto apewe jina la baba Ake na ubin uwe Wa baba Ake kwakuwa Wa najua kabisa connection ya Mtoto kwa mama ni kubwa kwake ni jina tu

Sasa kwa nini hausimam na ukawa shujaa kila mahali?
Asanteee Shangazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom