Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Siwapiiiii ng'oooompendwa wa binamu umesikia huku
Cheko hilooo
Tutakukamua kwa nguvu.Siwapiiiii ng'oooo
Akuuu mie nakuwa shahidi wenuNawe unataka kuweka dau?
In mpendwa's voice

AminMchana uwe mwema kwenu,mungu aweke ulinzi juu mihangaiko yenu ya hapa na pale...
Taja dau saasa

Yaani mm nikikuchokoza itabidi ujikaze usichokozekeeeKwani mimi nimekuchokoza na nini jamani Husna.

Weee hebu jaribu uone.Yaani mm nikikuchokoza itabidi ujikaze usichokozekeee
![]()
![]()
![]()
Hehehe hadi kisigino kisogoni?![]()
![]()
![]()
![]()
Ndukiiii...
Weee hebu jaribu uone.
ngoja sasaa
Muoneee![]()
![]()
ngoja sasaa
Mbona una haraka ya kuchokozwa buanaa
Siwapiiiii ng'oooo
Lete kojo husnaWeka humu
![]()