shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hakuichukua aisee, muwekee tuHukuichukua kweeeli... Maana sio kwa mitutu ile
Hakuichukua aisee, muwekee tuHukuichukua kweeeli... Maana sio kwa mitutu ile
HahahaHahhahaaaaa....
Kumbe siku nikifanya mazuri , inakuwa nimepitiwa na shetani eeh?
![]()
Kweli T sio ya kucheka hayo ujue mstasababisha nileft mjue
Hivi ule mpango wako wa kuanza kwaya uliishia wapi...?Kwenda... Kwani ni mwimbaji au



Jamaaan ebu niwekeeniHukuichukua kweeeli... Maana sio kwa mitutu ile
Ya wajeda wa kike wako na mitutuNakujua lakini nataka nione avatar uliyoweka
We utavaa sare ya kitenge bae???? Shunie anavaa kimini cha kitenge na lee shati la kitenge utadhani waimba kwaya






Acha hizo labda UsukumaniKyela kule kwa mwakyembe
WoyoooEmbu kaanze kutafuta kitambaa kabisa..
Kitenge kiwe na mchanganyiko wa rangi ya blue na nyeusi manake ndio nategemea iwe Dress Code siku hiyo
Hivi una nini wewe, hebu tuliaitupe tu humu kapuku niione dada jaman
Mimi bonge ndio najivunia ubonge wangu jamaan sitaki uchochezi kabisaIla ww bonge
![]()
![]()
![]()
....
WoyoooAnitumie ya ukweli ukweli
Walikua wangapiYa wajeda wa kike wako na mitutu
MmmmhWao ndio watavaaa...
Mimi suti ya Italy... sitaki ujinga kabisa...
Wewe na kiumbo chako gauji jeupeee la cinderela..
Nakupenda...Woyooo
Cc Transcend
Nitaleft ujue halaf uanze kunifokeaHivi una nini wewe, hebu tulia
Tena navyopendaga mabongeMimi bonge ndio najivunia ubonge wangu jamaan sitaki uchochezi kabisa
PoaSimuulizi mtu yeyote mie niwekee mie dada