Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
Nakujua lakini nataka nione avatar uliyowekaHivi kwani hunijui wewe au
Nakujua lakini nataka nione avatar uliyowekaHivi kwani hunijui wewe au
Kyela kule kwa mwakyembe
Hakuna kitu shemela nimeguna tu mimi
Embu kaanze kutafuta kitambaa kabisa..Ahahah kimini kinavaliwa siku ya kwaito mjue msinitanie
Muulize shululu, kimario, Transcend, JJ madame sSasa me nitaamini vipiiii uliweka avatar hiyo dada
itupe tu humu kapuku niione dada jamanSa niweke ya nini mdogo wangu
Ameen nawaombea mie jaman msije kunitia aibu tu me sura yangu nitaiweka wapi jaman jf apa na kapuku




Hukuichukua kweeeli... Maana sio kwa mitutu ileMuwekee mdogo wako aione
Anitumie ya ukweli ukweliBasi mtumie pm
Mmmmhkwani uongo dada
Beki ya KatiKolasinic si yupo
![]()
![]()
![]()
.....
Wao ndio watavaaa...We utavaa sare ya kitenge bae???? Shunie anavaa kimini cha kitenge na lee shati la kitenge utadhani waimba kwaya
EwaaaTukiwa tumeshikana mikono eeh?
Basi kama dress code hiyo T nitatafuta evening dress matata sanaEmbu kaanze kutafuta kitambaa kabisa..
Kitenge kiwe na mchanganyiko wa rangi ya blue na nyeusi manake ndio nategemea iwe Dress Code siku hiyo
OhoooHakuna kitu shemela nimeguna tu mimi
HainogiiiBasi mtumie pm
Simuulizi mtu yeyote mie niwekee mie dadaMuulize shululu, kimario, Transcend, JJ madame s