Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
I think wana- sayansi hawapendi uzee
Wanasayansi huliita tunda hili mfalme wa matunda duniani kutokana na kuwa na kazi nyingi mwilini kuliko matunda yote
Ukiacha kuukinga mwili na kemikali hatari na kuweka kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mengi sana
Sifa kuu ya tunda hili ni pamoja na kumfanya mtu kutokuonekana mzee hata kama umri wake ni mkubwa mno
Madam..Enhee learn to love yourself first then everything that has meant to be yours will always come to your side!!
Madame S
Duh! Means wako faster pale wanapojua wamechelewa wanakimbia fastaer faster hadi class huku wanahema mbaya...jokes
Kweli kabisa..
Yah! Kule ulaya ndivyo waga kunaendaga ila kibongo bongo hii kitu bado saana..
Ndio tujifunze sasa...Yah! Kule ulaya ndivyo waga kunaendaga ila kibongo bongo hii kitu bado saana..
post using my macbook air using jamiiforums app
Duh! Means wako faster pale wanapojua wamechelewa wanakimbia fastaer faster hadi class huku wanahema mbaya...jokes
post using my macbook air using jamiiforums app
Uko vizuri madame sHusaidia pia kuondoa hangovernimeongezea tu
Madame S
Lmao!
Hakika!Ndio tujifunze sasa...
The world is moving too fast..
HahahaaaLmao!i think ulianza "oya niajee" joked..
post using my macbook air using jamiiforums app
Uzee utakuja ila mwonekano wako utakuwa wa kijana kijana hata ukiwaambia watu una miaka 80 watakukataliaI think wana- sayansi hawapendi uzee
Joked
post using my macbook air using jamiiforums app
HallelujahNakuombea kila la heri niwe auntie
Madame S
Love you more