Babe..Yaani wewe..... Sio kwa uchochezi huoooo
Ndio vizuri au hutaki kuitwa mamaIsijeingia tuu Usiku wa leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] suala sio hilo yan nikae niangalie watu wakipigana yan wakaumizana ni kama ilivyo mpira ngumu kunishawishi tena at least hata mpira sasa hivi sio huu kwa kweli mtu anapigwa na kiti kama marehem umaga na kidole chake hahahhaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora nilale tu
Madame S
Niambiee baeBabe..
Heheee...Ntaambiwa nipimwe mkojo
Madame S
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bitoz hahhaahhah
Zamani kulikuwa na mpira wa wanaume
Siku hizi wavulana walaini kama wacheza rede
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
NatakaNdio vizuri au hutaki kuitwa mama
Madame S
Hahaha
Enhee learn to love yourself first then everything that has meant to be yours will always come to your side!!
Cc; kwa yoyote..
Shunie, unajua mimi siku zote niko naww hapa najuanga wewe ni Muslim...?[emoji15] [emoji15][emoji524] MITHALI 6
Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako.
NAWATAKIA USIKU MWEMA MLINDWE NA DAMU YA YESU [emoji7][emoji7]