10/
Chris Jericho
Alizaliwa Novemba 9 mwaka 1870
Huyu ni mcheza mieleka mweupe mfuga nywele filani hivi mwenye vituko ila nyumbani ni baba wa familia
Ameshastaafu mieleka sasa hivi kajikita kwenye kazi kibao za kisanii
Amewahi kushinda ubingwa wa dunia wa mchezo huo kwa kiwadunda wahenga kibao
Siku hizi ni mtunzi mcheza filamu na mwanamuziki
Kawahi kuvunjika mguu wakati akidensi wimbo wa
Dancing With The Stars
Tayari ana albamu zaidi ya sita
Ana utajiri wa USD 19 Milioni
........