Makapuku Forum

Leo katika Historia

1977 - Steve Biko anakamatwa na Polisi huko Afrika Kusini.
Anateswa na baadae kupoteza maisha.
Alikuwa akipinga sera za Makaburu Apartheid Policy zilizojikita katika kuwagawa Waafrika ili kuwatawala kiurahisi(divide and rule) haswa ubaguzi wa rangi
Aliuawa Septemba 12
......
 
Aisee
 
Yuko juu aisee
 
Bitoz aliwahi kuileta hapa, acheni Mungu aitwe Mungu
 

Hapo kuna mkono wa Pablo wala hakuna ubishi maana aliogopwa hadi na jeshi Wauza unga hawajawahi kumwacha mtu salama
.....
 
Kuna mambo nchi hii kuyaelewa ni kazi ngumu sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…