Makapuku Forum

Hii sasa sifa
Kuna watu hutaka tu wakumbukwe kwa nguvu

....
 
Leo katika Historia

1989 - Luis Carlos Galan anauwawa.

Alikuwa ni mgombea Urais mwenye nguvu katika Uchaguzi Mkuu wa Colombia.

Moja kati ya ahadi yake katika kampeni, ilikuwa ni kupambana na mfanyabiashara mashuhuri wa madawa ya kulevya, Pablo Escobar.

Hivyo inaaminika aliuwawa na Pablo Escobar kabla ya Uchaguzi ili asiingie madarakani.
 
Kumbe masikio ya Pogha mafupi sana

......
 
Leo katika Historia

2008 - Rais Pervez Musharaf wa Pakistan, analazimishwa kujiuzulu wadhifa wa Urais wa nchi hiyo.

Licha ya kuwa Rais, pia alikuwa ni Jenerali katika Jeshi la Nchi hiyo.
 
Walafi mate nje
Wakiongozwa na Jimena


.......
 
Leo katika Historia

1933 - Just Fontaine anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ufaransa.
Anashikilia rekodi ya kufunga magoli 13 katika michezo 6 aliyocheza ya kombe la Dunia, katika michuano iliyofanyika pale Sweden mwaka 1958.
Alishiriki kombe la Dunia mara moja na Kufunga goli 13. Ni rekodi ya pekee.
 

Ngoja nitest mitambo hapa
Ipo siku nitaingia baharini kuisaka hiyo rekodi

....
 
Leo katika Historia

1933 - Just Fontaine anazaliwa.
Ni straika wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ufaransa.

Anashikilia rekodi ya kufunga magoli 13 katika michezo 6 aliyocheza ya kombe la Dunia, katika michuano iliyofanyika pale Sweden mwaka 1958.

Alishiriki kombe la Dunia mara moja na Kufunga goli 13. Ni rekodi ya pekee.
 
Ila rekodi yake ilishavunjwa
Andunje of the world !!!

.........
 
Hiyo kusimama mmh afanye Kama anangalia juu hivi

My love

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo katika Historia

1980 - Esteban Cambiasso anazaliwa.

Ni kiungo mkabaji wa zamani wa Real Madrid, Inter Milan, Leicester City na timu ya taifa ya Argentina.

Anajulikana zaidi kwa staili yake ya Kipara.

Katika Kombe la Dunia mwaka 2006, Cambiasso alifunga goli dhidi ya Serbia, goli hilo lilitokana na idadi ya pasi 23 bila kuguswa na mchezaji wa Serbia.
 
Leo katika Historia

1984 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Robert Huth.

Ni beki wa zamani wa Chelsea, Stoke city na Leicester City.


Alikuwa ni sehemu muhimu katika timu ya Leicester City iliyobeba ubingwa wa EPL msimu uliopita ambapo alitengeneza kombinesheni ya hatari na Captain wa Leicester, Wes Morgan.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…