Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf nilijua utani ulivyoniambiaKweli Shunie... Si nilikuambia shida yake... Fungua basi uonee bhanaa... Serious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf nilijua utani ulivyoniambiaKweli Shunie... Si nilikuambia shida yake... Fungua basi uonee bhanaa... Serious
Ni wapi hukoHahaa...
Huku hakuna kina Trump aisee..!
Watu wako na settled mind..
Sawa shemela ulale unonoShunie..
Tumosa
Dingimtoto
Madam s
Na wengine woooooote...
Sakayo ni special case..[emoji173]
Nawatakia muda mwema..
Tuonane baadaye kidogo....
Sawa babu akeeLakini hujakosea Shunie.... You don't have to be too sensitive
Ili nione anajiskiaje shemelaHzo shikamoo veeepe
Acha kabisaaHmmm.... Huu mchanganyiko hatareeeee
Nakupenda tu dada jaman Mungu azidi kuniwekea sakayo wangu mimi [emoji8] ulale unono damu ya Yesu ikulindeMuwe na usiku mwema jamanii....
T wangu nakupenda, Mungu akutunze tuu jamanii... Shunie mdogo wangu, bila wewe ni sawa na kasha bila njiti... Tumoo na Madam S Nawapenda bure.... Babu yao naomba uniagie Bitoz, shululu, Lee na Obe....
Nawapenda jamanii
Sinaga utani na simu wewe mdogo wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf nilijua utani ulivyoniambia
Amen mdogo wangu... Love you moreNakupenda tu dada jaman Mungu azidi kuniwekea sakayo wangu mimi [emoji8] ulale unono damu ya Yesu ikulinde
Wasalimie shemelaD...
Kwa wauza mafuta..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sinaga utani na simu wewe mdogo wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mbona nimeitikia shemelaVitu adimu nini usambaani unakwepa shikamoo zangu ndio uone sasa mwambie mke usivyozipenda we shikamoo na baba d hataki ata kuzisikia
[emoji119] [emoji119] [emoji119]Hapana babu alimuuliza sakayo ni mtu wa bukoba? nikamjibu wa bukoba ni shemela shululu upande bukoba upande tanga msambaa
Tetra aliyekuteka mwambie aendelee hivyo hivyoUsiku mwema famili
Imetoka moyoni tena kiroho safi kabisa shemela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii marahaba haijatoka moyoni me nataka uitikie kama anavyoitikia babu yangu mzeewakungoa
Haijatoka kumoyo hujaitikia kama anavyoitikia babu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mbona nimeitikia shemela
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Na bb D utamshonea shati atundike kwenye ktambi chake[emoji3] [emoji3] [emoji3]