Makapuku Forum

8/Mexico
Hivi viwanda vya wauza unga huhesabiwa? Maana huku bdio chimbuko la maDon wa ukweli sio huku Bongo hadi muuza pipi eti anajiita tu Don....haka ni kadon uchwara tu
Nafikiri Chicharito asingejua kuucheza mpira muda huu angekuwa kitaa anabwia unga na kukaba au angekuwa kiwandani
Nchi ya Mexico nayo inazalisha bidhaa nyingi tu huko Amerika kama picha inavyoonyesha hadi gari kutengeneza sio ishu
Gharama za kuwalipa wafanyakazi viwandani ni wastani wa USD 6 tu kwa saa usishangaeDonald Trump kutaka kujenga ukuta ili wasiingie Marekani
Viwanda hupigwa kodi ya moja kwa moja ya 30%
Huchangia pato kwa karibia 18% ya GDP yaani USD 160 Bilioni
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…