10/Singapore
Inapatikana huko barani Asia
Wanafanana na Wachina na Wakorea kimuonekano yaani wafupi pia wana macho madogo kama matundu ya sindano
Hii nchi ipo vizuri kwenye suala la viwanda kuanzia vya kielektroniki.nguo,viatu na vikorokoro kibao ila bidhaa zao kama za Wachina tu zimejaa ujanja ujanja tu wanaweza hata kukuuzia nondp ya plastiki....hivyo hawaaminiki hawa
Wafanyakazi kwenye viwanda wanalipwa wastani wa USD 25 kwa saa
Viwanda vya uzalishaji bidhaa nchini Singapore hulipa kodi ya moja kwa moja corporate tax ya 17% wakati huku kwetu akina Dangote wanasamehewa tu kodi eti ni wawekezaji
Kwa nwaka huchangia mapato ya USD Bilioni 50 ambayo ni sawa na 18% ya GDP ya Singapore
............