Makapuku Forum

TOP TEN
Pombe : Serikali yangu ni ya viwanda
Waziri : Ukiwa na vyerehani vinne basi wewe tayari una kiwanda
Nyangema : Ukiwa na mbuzi wanne wanaokunya vizuri tayari una kiwanda cha molea

Nimeandika hizo nukuu maana nataka kuzungumzia viwanda ila kwa Bongo ni siasa na porojo tupu !!
Duniani kote nchi zilizoendelea zinategemea viwanda kuzalisha bidhaa za ndani na nyingine kuuza nje ya nchi
Unapotumia smartphone kujidai humu elewa tu imetengenezwa kiwandani hivyo usichezee viwanda
Hata nguo zako zote ulizovaa hadi kyupi kimetoka kiwandani mbaya zaidi kwa sisi wabongo hadi vyupi tunawategemea watu weupe yaani Wachina na Wazungu ndio wanaotusitiri sisi tupo bize kupiga siasa zisizo na tija tukimaliza kubishana tunaweka toothpick mdomoni tulizotengenezewa na Wachina !!!

Sasa tuangalie nchi kumi zilizopiga hatua kwenye suala la viwanda na kuchangia ukuaji wao mkubwa kwa a kiuchumi

Kaeibuni
.... .............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…