Makapuku Forum

Katika Amka Na BBC asubuhi hii...

Watu wapatao mia sita hawajulikani walipo kufuatia maporomoko ya udongo yaliyoharibu mamia ya makazi ya watu nchini Sierra Leone.

Mtoto wa miezi sita, afariki dunia kwa madai ya kupigwa na Polisi, wakati wa ghasia zilizotokea baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya.

Kauli ya Rais wa Zambia Edgar Lungu ya kutaka raia wa nchi hiyo kupima kwa lazima virusi vya ukimwi, yapokelewa kwa mitazamo tofauti.

Na Rais wa Tanzania Dokta John Magufuli amefuta kodi ya ardhi kwa wamiliki wote wa ardhi wenye hati za kimila.
 
Aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…