Makapuku Forum

Aisee
 
Hii kitu ipo poa
Uiendeleze iwe segment kamili
Bonge la ubunifu
......
 
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vyema kabisa..... Nawakaribisha kwenye leo katika historia na italetwa kwenu nami Jimena Jimenes kwa udhamini murua wa Ximena's red wine ambayo inapatikana kwa ladha mbili sweet na dry
Nitaipate aisee
 
2/ mtu mwenye masharafa marefu zaidi duniani



Si mwingine bali ni raia wa nchuni India, anajulikana kama Ram Singh Chauhan mwenye umri wa miaka 59 akitokea huko Rajasthan. Alianza kufuga mashara hayo mwaka 1982

Masharafa yake yana urefu wa 4.29 m sawa na (14 feets) yalipimwa katika kipindi cha luninga kilichojulikana kama "Lo show Di Record" mjini Italy na kuingia kwenye records za kidunia 04 March 2010

Venye anakwambia masharafa ni alama ya uanaume na huwashangaa sanavijana wakizinyoa.

Huchukua masaa 2 kusafisha masharafa yake kila siku na hutumia mafuta ya nazi pamoja na ya zetuni kuchania saharafa zake

Hajawahi kuzinyoa maisha yake yote huzipunguza tu kiasi zisizibe mdomo wake au kuufunika kabisa na huziosha kila baada ya siku kumi kwa msaada wa mkewe



Madame S
 
Ngoja niwepoo kwanza na kahawa niongezee.....
 
Leo katika Historia

1977 - Elvis Prisley anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji mashuhuri toka nchini Marekani. Kwa sisi nashabiki wa Michael Jackson huyu ni Baba mkwe wetu maana kama mtakumbuka vizuri Michael aliwahi kuwa mume wa mwanadada Lisa Prisley ambae ni mtoto wa Elvis ndoa iliyodumu kwa muda mfupi tu nadhani mwaka mmoja kama sikosei
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…