makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,827
- 103,893
Sijapinda wala nin..wewe umepinda sana ujue
Madame S
Tycoon MAKAVELI Jr.
Sijapinda wala nin..wewe umepinda sana ujue
Madame S
Raha ya pombe ulewe.. uyumbe yumbe..
Hapa unaweza ukakosea ukaruka na shemeji yako..
..Marhabbaaa... Hujambo mjukuu mwee?Babuuu shikamooo
Ha ha ha ha haSio kuzoea tu, nakupenda pia bila kusutwa anaumwa tena ile hoi kitandani.. basi hapo watokee watu wa2 wa3 wamsute.. oophh! Afueni na uzima unarud..
Tycoon MAKAVELI Jr.
Zamu yako makaveli kupotea.... Ukirudi na mimi napoteaSio kuzoea tu, nakupenda pia bila kusutwa anaumwa tena ile hoi kitandani.. basi hapo watokee watu wa2 wa3 wamsute.. oophh! Afueni na uzima unarud..
Tycoon MAKAVELI Jr.
![]()
![]()
..
Misemo ya kujitia moyo, yote kwa yote pesa ndio kila kitu
Tycoon MAKAVELI Jr.







Akili zako hazina akiliHapa unaweza ukakosea ukaruka na shemeji yako..![]()
![]()
![]()
Tycoon MAKAVELI Jr.


