AlijitahidiNamba 1.
Gary McKinnon
Huyu jamaa ndio alikuwa Top, sasa hivi ana umri wa miaka 51.
Ni raia wa scotland. Huyu Gary alikuwa ni mtaalamu wa Computer .
Gary aliweza kushambulia na kudukua Computer za jeshi la marekani na NASA ( National Space Agency) akiwa nyumbani kwa shangazi wa mchumba wake.
Gary aliweka virus na kufuta mafaili kwenye computer za NaSA 97.
Gary alikiwa anaingilia computer za jeshi la marekani kwa kufuta mafaili kwenye computer 2000 ndani ya masaa 24.
Alipakua na kunakili password na email za maafisa wa jeshi la marekani na Nasa.
Mbaya zaidi akaamua kuingia kwenye website ya NASA na kuandika ""Your security is a Crap" akimaanisha "Usalama wa Computer zenu ni Uchafu"
Gary alifuta na kufunga computer 300 za kuongozea baadhi ya mitambo ya kutengeneza Silaha nchini marekani , lakini pia Garry aliiba mafaili ya UFO's ambayo hadi leo yanabaki siri kwa jeshi la marekani.
Gary ndie aliefanya udukuzi mkubwa kuliko udukuzi wowote uliowahi kutokea ktk computer za majeshi.
Kwa leo Naishia hapa.
Nawatakia Usiku mnono.
Transcend.
Kama pipa na mfuniko [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lazima, c sababu we na toz akili zenu ni sawa sawia..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji17] [emoji17] [emoji17]Nitakumiss zaid ndugu yangu.
Tycoon MAKAVELI Jr.
[emoji6] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]santeee
Madame S
Salama umzima shemelaHabarini za mchana wapendwa
Akija wakat mie nshaondoka, mwambie anunue tuu ntaila kiporo na maziwa asubuh..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na kweli
Madame S
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntamwambia na sakayoAkija wakat mie nshaondoka, mwambie anunue tuu ntaila kiporo na maziwa asubuh..[emoji23]
Tycoon MAKAVELI Jr.
Mpaka kibonde maji..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kasema anakuagizia ila utalipia mwenyeweMadame S please buy a pizza for me
[emoji134] [emoji134] [emoji134] anaenda wapiAll the best Mungu akuwezeshe uende salama urudi salama
Madame S
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mmekutana..[emoji23] [emoji23]Kama pipa na mfuniko [emoji23] [emoji23] [emoji23]