Makapuku Forum

Mimi sio mali ya umma
mpnzi wangu anasoma maneno yako hapa

Madame S
Sijakwambia kuwa we ni mali ya umma,la hasha ila unachofanya ni uungwana tu, unanistiri mie jirani yako na barid la usiku huu mpendwa.. kama vile mtu anavyokuja kwako ana kiu ya maji, kwani ukimpa maji unakuwa wee dawasco, azam au maji ya umma, c ubinadamu tuu mpendwa.. ckme on bhaana.

Tycoon MAKAVELI Jr.
 
Potelea pote na maelezo yako marefu kama essay

Madame S
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…