Makapuku Forum

Mi naona mdaubkama upo free mida ya jioni endelea tu hata wiki nzima maana wiki hii majanga pia nishaandika vitu vingi hivyo bora uendelee ili tupate vitu vipya maana ushaanza kuwa gwiji ila jitahidi uandike kiswahili tupu

.......
 
Namba 10.


Alberto Gonzalez

Alberto Gonzalez alizaliwa mwaka 1981 nchini Cuba.

Baada ya kuja Us kama mkimbizi na wazazi wake, alipata computer yake ya kwanza akiwa na miaka 8.

Baada ya hapo akaenda kusoma shule Miami-Florida na huko akajiunga na kikundi cha Shadowcrew chanye hackers..

Pamoja na Mtandao wa bank ya Netinezs kuwa uko salama ila Alberto alitengeza mastermind profile kwenye internet nakuingia mfumo wa computer wa bank hiyo.

Anashikilia rekodi ya hacker alifanya wizi mkubwa wa Credit Card kwa kuwa aliuza zaidi ya Credit Card 170 million
Na kuwa wizi mkubwa katka wa Cards katika maisha ya mwanadamu.

Gonzalez alihukumiwa kifungo cha miaka 20.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…