Makapuku Forum

Leo katika Historia

1945 - Japan yasaini na kukubali kushindwa kwake kwenye vita kuu ya pili ya Dunia na kufanya kumalizika rasmi kwa vita hiyo Duniani.

Maji yalizidi unga !!
Ilikuwa ni baada ya siku vhache tu walipoporomeshewa mabomu ya nyuklia na Wamarekani kiasi cha kumfanye Mfalme Akihito apooze
....
 
Leo katika Historia

1947 - Pakistan yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.

Ilikuwa ni baada ya vuguvugu la Pakistan Movement ambapo Wapakistan walitaka Uislamu utenganishwe na sebemu ya Kaskazini Magharibi mwa Asia Kusini kwa kuanzisha Taifa huru la kiislamu
Vuguvugu liliongozwa na All India Muslim League
......
 


Huyo apo

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…