Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 14, 2017 #263,402 shululu said: Morning all kapuku Click to expand... dumejeuri said: Morning makapuku wenzangu! Click to expand... Sakayo said: Morning all Click to expand... Fresh tu wadau Kama mnavyojua Jumatatu full pilika za kuanza week !! Muwe na siku njema .....
shululu said: Morning all kapuku Click to expand... dumejeuri said: Morning makapuku wenzangu! Click to expand... Sakayo said: Morning all Click to expand... Fresh tu wadau Kama mnavyojua Jumatatu full pilika za kuanza week !! Muwe na siku njema .....
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 14, 2017 #263,403 Bitoz said: Ahsante dau ..... Click to expand... Pamoja sana bitoz
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 14, 2017 #263,404 Bitoz said: Click to expand... Refa jana kammaliza CR7
mogulnoise JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 2,445 Reaction score 5,555 Aug 14, 2017 #263,405 CR7 sasa anakuwa DEC 8
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,406 Leo katika Historia 1935 - Rais Franklin Roosevelt wa Marekani anasaini rasmi sheria ya kuwalipa mafao " Pensheni " wastaafu wa nchi hiyo.
Leo katika Historia 1935 - Rais Franklin Roosevelt wa Marekani anasaini rasmi sheria ya kuwalipa mafao " Pensheni " wastaafu wa nchi hiyo.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,407 Leo katika Historia 1945 - Japan yasaini na kukubali kushindwa kwake kwenye vita kuu ya pili ya Dunia na kufanya kumalizika rasmi kwa vita hiyo Duniani.
Leo katika Historia 1945 - Japan yasaini na kukubali kushindwa kwake kwenye vita kuu ya pili ya Dunia na kufanya kumalizika rasmi kwa vita hiyo Duniani.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,408 Leo katika Historia 1947 - Pakistan yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,409 Leo katika Historia 1959 - Ligi ya " American Football " yaanzishwa rasmi huko Marekani.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,410 Leo katika Historia 1971 - Ni siku ya Uhuru wa Bahrain.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,411 Leo katika Historia 1994 - Ilich Ramirez Sanchez maarufu kama Carlos the Jackal anakamatwa. Alikuwa ni mhalifu aliytafutwa sana na Serikali ya Ufaransa.
Leo katika Historia 1994 - Ilich Ramirez Sanchez maarufu kama Carlos the Jackal anakamatwa. Alikuwa ni mhalifu aliytafutwa sana na Serikali ya Ufaransa.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,412 Leo katika Historia 2013 - Misri yatangaza hali ya hatari na Jeshi la nchi hiyo kuua mamia ya waandamanaji waliokuwa wanampinga Rais Mohammed Morsi.
Leo katika Historia 2013 - Misri yatangaza hali ya hatari na Jeshi la nchi hiyo kuua mamia ya waandamanaji waliokuwa wanampinga Rais Mohammed Morsi.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,413 Leo katika Historia 2015 - Ubalozi wa Marekani nchini Cuba wafunguliwa tena mara baada ya kufungwa kwa miaka 50 iliyopita kutokana na uhusiano mbaya wa Marekani na Cuba.
Leo katika Historia 2015 - Ubalozi wa Marekani nchini Cuba wafunguliwa tena mara baada ya kufungwa kwa miaka 50 iliyopita kutokana na uhusiano mbaya wa Marekani na Cuba.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,414 Leo katika Historia 1968 - Halle Berry anazaliwa. Ni mwanamitindo, Muigizaji na Miss United States wa 1998.
Leo katika Historia 1968 - Halle Berry anazaliwa. Ni mwanamitindo, Muigizaji na Miss United States wa 1998.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,415 Leo katika Historia 1973 - Jay Jay Okocha anazaliwa. Mwanasoka mahiri wa zamani wa Nigeria.
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,636 Aug 14, 2017 #263,416 shululu said: Refa jana kammaliza CR7 Click to expand... Umtiti alimshika Ronaldo Ila siyo penati na pia siyo yellow card (ikazaa red) Refa kaharibu .....
shululu said: Refa jana kammaliza CR7 Click to expand... Umtiti alimshika Ronaldo Ila siyo penati na pia siyo yellow card (ikazaa red) Refa kaharibu .....
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,417 Leo katika Historia 1984 - Ni siku ya kuzaliwa ya beki kisiki Giorgio Chiellini. Maarufu kama " Mti Mkavu " ni beki kisiki wa Juventus na Italy.
Leo katika Historia 1984 - Ni siku ya kuzaliwa ya beki kisiki Giorgio Chiellini. Maarufu kama " Mti Mkavu " ni beki kisiki wa Juventus na Italy.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,418 Leo katika Historia: 1989 - Ander Herrera anazaliwa. Ni kiungo wa Man Utd na timu ya taifa ya Hispania.
Leo katika Historia: 1989 - Ander Herrera anazaliwa. Ni kiungo wa Man Utd na timu ya taifa ya Hispania.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,419 Leo katika Historia 1988 - Enzo Ferrari anafariki Dunia. Ni mwanzilishi wa kampuni ya Magari ya Ferrari. Anafanana sana na Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil. Mwaka aliofariki Enzo Ferrari ndio mwaka aliozaliwa Ozil.
Leo katika Historia 1988 - Enzo Ferrari anafariki Dunia. Ni mwanzilishi wa kampuni ya Magari ya Ferrari. Anafanana sana na Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil. Mwaka aliofariki Enzo Ferrari ndio mwaka aliozaliwa Ozil.
Jimena JF-Expert Member Joined Jun 10, 2015 Posts 25,935 Reaction score 96,105 Aug 14, 2017 #263,420 Sina la ziada, Nawatakia wiki njema yenye furaha tele. . Kwa udhamini mnono wa Ferrari tukutane tena Kesho.
Sina la ziada, Nawatakia wiki njema yenye furaha tele. . Kwa udhamini mnono wa Ferrari tukutane tena Kesho.