...inakaribia kukamilika, asante kwa kuuliza. Nimekumiss, well, nimemmiss sana husna muba , kuna jipya?
Kuna jipya, maana ya mungu mengi unaweza kuta nimeachika hivi hivi
...na kama wewe ni mpenzi wa ile blues ya ukweli, yeah ile ya kina BB King, Buddy Guy na wengine, lakini unamjua mashoto aliyewapa mbinu hao waliotangulia hadi kina Paul McCartney, anaitwa Albert King, yeah, mashoto ukilisikiza gitaa lake utashiriki na mashoto wote leo
Kwako Transcend na wote