Makapuku Forum

Hiyo STU ni timu gani? Mwenzenu siijui ni staki shari au? Nimerudi makapuku forum kule kwingine wamenizengua na siasa zao za Rais kuwa waziri nikaona ngoja nisepe maana naweza changia nikapelekwa kuleeeee.
Ni timu ambayo haijawahi kufungwa na simba kwa zaidi ya tofauti y goli moja...
 
Karibu grandma,wajukuu tulikumisi sana.
Hahaha nilikuwa natumia dawa ya anti FJmiligne sasa nimeishiwa nimerudi kazi mtindo mmoja. Ila mhu Makapuku yanatisha!!! Post kibao tena za kukufanya ufunge tumbo na kitambaa ama sivyo utumbo utajifunga kwa kucheka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…