Makapuku Forum

Naandaa tu shemeji maana najua mwakani naweza nikaachana na kilimo nikahamia kwenye shughuli zingine
Kilimo ni kizuri sana kama soko ni zuri, tatizo ni soko,

Bahati mbaya na serikali yetu inaimba viwanda tu

Kilimo imekitupilia mbali, sijui kama viwanda vitajengwa,sababu mzalishaji mkuu wa malighafi ya viwandani hajapewa kipaombele
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…