Shenz saana hawa..
Na shemej siwez kukukataza urafk nao cz sijui ushoga wenu umeanzia wap, ila kuwa nao makin mnoo.. mie mumeo ni rafk yangu kitambo toka vidudu mpaka leo tuna watoto, mumeo sio chenjegu shemej na nina kuhakikishia anakupenda kuliko anavyoweza kusema..
Mapenz anayokuonesha hayajafikia hata robo ya vile anavyokuzimia..
Tycoon MAKAVELI Jr.