Shemela inawezekana lakini mana kuna vituko utafanyiwa mpaka unajiuliza kwani ulizaliwa naye huyu mtu mbona tumekutana ukubwani tu hapana jaman acha maisha mengine yaendelee muache aende tuTumeumbwa tofauti shemela
Safi shemela wangu za wewe apoShemela wa mimi apa za kwako
Asantee shemelaPamoja sana mama D
Nzuri kabisa shemela wangu, nipo milimani huku kwenu,Safi shemela wangu za wewe apo
Ebu niwekeapo vipicha jaman nione milima ya kwetu upo mlalo kabisaNzuri kabisa shemela wangu, nipo milimani huku kwenu,
Njema mkuu kumekucha na msimu wa upepo umeanza uku full kupauka!Morning too, za dom
Usikonde Obe! Hata mi mwenyewe pia nimebanana ile mbaya sema nakomaa tuNiwie radhi pamoja na wadau wote. Kuna kiproject kimenikaba sana ndo maana mida ninayoingia imekaa tenge sana.
Mapenzi ni balaaHuyu ndikumana nae chizi mtu hutakiwi bado tu unalazimisha mapenzi hivi kwa nini watu wengine ni wagumu jaman hivi hutakiwi kabisa na vituko unavyofanyiwa ila bado tu
Safi Jimena za weweHabari ya jumamosi Makapuku??
Ni ujinga tu hupendwi achana nae kwani uliumbwa kwa ajili yake tu huyoMapenzi ni balaa
Gata kama mtu hapendwi analazimisa penzi
......
Njema mpendwa za ww?Habari ya jumamosi Makapuku??
Pigeni tu kaziUsikonde Obe! Hata mi mwenyewe pia nimebanana ile mbaya sema nakomaa tu
Kuna watu wabishiNi ujinga tu hupendwi achana nae kwani uliumbwa kwa ajili yake tu huyo
Nipo lushoto mjini,nitakutumia shemela wanguEbu niwekeapo vipicha jaman nione milima ya kwetu upo mlalo kabisa
Mafua, kikohozi + kupaukaNjema mkuu kumekucha na msimu wa upepo umeanza uku full kupauka!
Nzuri ankali, za kwako ankali wanguHabari ya jumamosi Makapuku??
Sikatai koncho najua ni mapenzi lakini utampendaje mtu ambae hakupendi haonyeshi hisia zake kwako we ni mtu wa kumpenda yeye tu kila siku hapana jaman inauma na Mungu kaumba kusahau utaumia kwa mda mfupi badae utazoea muache aende utakuja tu mpata mtu aliye sahihi kwako atakaekupenda kama unavyompenda yeyeHaya ni mapenzi Shunie na unajua nini maana ya kupenda.
Kuna watu wakishapenda wamependa huwaambii chochote.
Salama kabisaNzuri ankali, za kwako ankali wangu