Makapuku Forum

Hehehehe
Wote wanaweza kuwa wanaulizwa!

Njia rahisi ya wewe kuepuka swali hilo ni kubadilisha jina, kujibu kila mtu atakaeuliza au kufungua uzi maalumu kuelezea maana ya hilo jina ili mtu akiuliza tu umtag hapo apate kuelewa
Matatizo mengine ya kujitakia tu
Mfano mtu ukijiita Mfua chupi inategemea nini?
Mimi pia nimewahi kumshauri abadili ID(Username) ila sikumlazimisha
............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…