Mmmmmh, huyu kuelewa hadi alewe kwanza halafu wizara nzima ya elimu iungane na ile ya Znz ndo waje wamueleweshe. Mgumu sana kuelewa huyu, niulize mimi.
Hebu fikiria, mumewe ambaye ni anko wangu ana watoto kama alama za chadema lakini hataki kuamini