Makapuku Forum

1/Penis Snake
Siongelei penis inayowapa jeuri akina Side Mnyamwezi wala penis inayowafanya mijimama ipapatikie vijana wadogo na kuhonga
Naiongelea penis nyingine kabisa yenye uwezo wa kusimama na kuuma tofauti na ile inayosimama na kumwaga vitu
Uume huu unaojongea unapatikana Brazil kwenye Mto Amazon yaani ni kama ana undugu na Anaconda ila watafiti wamegundua hyuyu kiuhalisia sio nyoka bali anakaribiana kibaiolojia na Salamander
Kitu kingine cha ajabu ni kwamba hawana mapafu pia
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutane kesho
Mwisho
..............
 
 
Asantee mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…