Ameeen[emoji524] Baba ampenda Mwana naye amempa vyote mkononi mwake
Amwaminiye Mwana yuna uzima wa milele asiyemwamini Mwana hataona uzima, bali ghadhabu ya Mungu inamkalia [emoji524]
YOHANA 3:35-36
Muwe na usiku mwema damu ya Yesu iwalinde [emoji120] [emoji7]
Ndio mke wangu aliwahi kuishi dar namaanisha shunie ...alitumia simu yangu kumjibu dadake sakayoAahh.. wa dar huyo
AiseeeehSasa me mme wangu hakuli hayo mavitu jaman dada na harufu hana
Acahana nae huyo bhana..[emoji134] [emoji134] [emoji134] makaveli10 njoo useme vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio mke wangu aliwahi kuishi dar namaanisha shunie ...alitumia simu yangu kumjibu dadake sakayo
Niko makinii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mfalme mswati kwema?Niko makinii
Mkuu umekosea quote auMfalme mswati kwema?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaani I miss you too shemela pole na safari hope umetuletea zawadiNikikumis sana tumosa
You know nimetoka USA jana nimeingia leo,
Sema pale US EMBASSY walinizingua passport.
Ila waliposikia narudi bongo wakasema "haina haja ya passport u're free to go"
I think wananiogopa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
post using my macbook air using jamiiforums app
Viporo hvo veeepe[emoji134] [emoji134] [emoji134]Mndali,habar
naomba tupate PROJECT moja
Come private....
post using my macbook air using jamiiforums app
Kirahisi rahisi tuAcahana nae huyo bhana..
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Mfalme mswati kwema?
Shemeji nawe.. we unatakaje sasaKirahisi rahisi tu
Sijajanayo hila nita-prepare hivi punde.[emoji3] [emoji3] [emoji3] jamaani I miss you too shemela pole na safari hope umetuletea zawadi
Mdau maisha yamebadilikaIla mimi sio mmoja wao maana hizo ni tabia za kike kama kuna dume liko hivyo basi tunawaita wanaume kama mabinti au wanaume kama wanawake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hatucheki nawewe sababu ya uongo na umbea ♬♪♪Mdau maisha yamebadilika
Siku hizi wanaume wamewapiku wanawake kwa umbea
Binafsi rafiki zangu wengi sana nimegombana nao sababu ya umbea wao
Wakati nasoma nakumbuka kuna siku timbwili kubwa liliibuka class chanzo akiwa ni kidume aliyeutoa umbea hostel akapeleka class unaambiwa zilipigwa siku hiyo balaa
Siku hizi nimepunguza hata idadi ya marafiki yaani wanaume wa sasa walaini hawana hata vifua
Kilichobaki kututofautosha na wanawake ni kutovaa sketi tu
Niwatakie Usiku Mwema
.......
Nakusalimu ww mkuu!Mkuu umekosea quote au
Shukran nawe pia kamandaWakuu..
Mlale salama