Makapuku Forum

Kwahiyo shem unaona sawa anavyoongelea mambo ya wake 3 jaman nataka niwe naona tu anayoyaongelea baba d
Hapana shem, ni hv alikuwa anazungumzia miaka hyo kabla hajakupata ww eti alikuwa anao wa3, ila toka akupate ww katulia yaan umemuweza kichiz, hajui hata umempa nin kiukewli katulia tuli, anakupenda mfano wake hakuna
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…