Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
VP?!Duuh kumbe utani wa humu unawaumiza watu
Jamani hapa ni stress free sio siasa hivyo utani ni kawaida tu
Mfano Husna & Obe ni couple ya humu ila mimi kila siku nataniana na Husna hadi mtu anaweza kuhisi nina uhusiano nae ila la hasha ni utani tu
Hivyo wadau msiwe mnamind mambo madogo tu pia utani wetu unaishia kwenye thread hii tu tukikutana kwingine hatutaniani kivile na kila mtu yupo huru humu au nje ya thread hivyo ya humu huishia humu
Niwatakie Mchana Mwema
..........
Halafu sasa aibu yakoo... Leo nimeletewa box zimaaana umejaa kweli kweliii ....leo tamu kidogo uikosee ..loliiiipoooopuuuu
kidogo dude liamkeeMie nasimamiaga misimamo yangu.... Sijui ulifikiri nitapingaa
Dada haya maneno ya mtaani nawe unayatumia?Hahaha
Vunga basiii
ahahahahahaha mwehuuu wewe ...box hilooo vipii au umebugiaaa yoteeeHalafu sasa aibu yakoo... Leo nimeletewa box zimaaa
Au ndio upuuzi wa Lee ule nn?!mdau hakuna aliyekwazima ilikuwa changamsha genge
Hahahakidogo dude liamkee
Umesahau wewe ndo ulinikaririshaDada haya maneno ya mtaani nawe unayatumia?
utakujaa kutuonesha visivyoonekana mchana ..hasa unavyomttumia binamuKiukweli huyo ni mtoto wa mdogo wa mdogo wangu
Kuna picha nilitak niipost humu nikakosea nikatuma hiyo then nikashindwa kuifuta
Box lipo hapaaa na kubugia nshabugiaa... Yupoo hapa anahema tuuuahahahahahaha mwehuuu wewe ...box hilooo vipii au umebugiaaa yoteee
nilionaa anataka kuliamsha sema akavungaaHahaha
T ni mwanaume wewe...
Anasema anakusubiri muda ukifike umshtue, mechi ikiisha tu unirudishie mwanaume wangu mimiAtarudi salama salimini
bugiaaa ongezaaa protein mwiliniii ,,kitu naturally tena cha motoooBox lipo hapaaa na kubugia nshabugiaa... Yupoo hapa anahema tuuu
T sio kama mzee wa kununaa... Nshakwambia mume wa Sakayo ni jembee... Haendeshwi na manenonilionaa anataka kuliamsha sema akavungaa
Hujambo mdogo wangu...Usinizeeshe babu wee...
Ni wa Transcend huyohuyu wangu na hapo bado kuna siku atakuja kulitaja jina la 4 la baba yake hapa