Makapuku Forum

[emoji524] Sitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana

Bwana ameniadhibu sana lakini hakuniacha nife

Nifungulieni malango ya haki nitaingia na kumshkuru Bwana [emoji524]


ZABURI 108:17-19

Muwe na asubuhi iliyo njema kwenu mbarikiwe sana [emoji120]
 
Sina neno zaidi ya kusema ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…