Makapuku Forum

1/Jesus of Nazareth
Aliishi kati ya mwaka 5BC hadi 28 AD Ila wafuasi wake bado wanaamini yupo hai mbinguni sasa sijui kama keshazeeka au lah
Alizaliwa na Bikira Maria kwa uwezo wa Roho Mtakatifu {kama wewe unahisi alizaliwa kama wewe ilivyotokea kwa wazazi wako mimi sijasema hivyo)
Pamoja na kuishi bila shari na mtu akasalitiwa na bwana Yuda Eskariote na wenzake wachache kisha Pilato akavuta mlungula na kutoa hukumu ya kidwanzi halafu akasulubiwa akafa kisha akapaa mbinguni
Hivyo ukisalitiwa na rafiki/ndugu/mpenzi wako usiwaze sana kumbuka hata Yesu yalimkuta pamoja na kufanya mazuri kwa 100%
Ameandikwa kwenye vitabu visivyo na idadi

Anatafutwa X 25,000,000 na ushee kwa mwezi

.
.
.
.
.

.
.
Samahani kwa niliowakwaza kwa mada ya leo najua nimekorofisha imani za wstu maana ilikuwa hakuna namna
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Niwatakie Usiku Mwema
Mwisho
........
 
Inapatikana wp?
 
ALLAH AKBAR
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…